Select Page

Mafundisho ya kujenga Imani

Dhamira yetu ni kuujenga mwili wa Kristo, kuonyesha ukuu wa Mungu kwa kutoa mafundisho ya kumwezesha mtu kuishi maisha ya kiufuasi ili aweze kuwa chumvi na nuru ya ulimwengu

Discipleship / Ufuasi

Katika Mathayo 28 Yesu anasema “enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi”

Theologia

Ufuasi ni kumjua Mungu, na tunapitia kwa undani mafundisho juu ya Mungu wetu na yote yanayohusu Imani yetu

Masomo ya Biblia

Katika sehemu hii tunapitia vitabu vya Biblia na kufafanua maandiko kwa undani

Masomo mengine

Katika sehemu hii unapata kujifunza juu ya dini za ulimwengu, falsafa, kazi za ofisi na mengi mengine.

Subscribe

Jisajili ili upate taarifa kila kipindi kipya kikitoka

Our Courses

Tunatoa masomo mbali mbali yanayohusu maisha ya imani ya Kikristo

Contact

Kama una swali usisite kuwasiliana nasi

Kwa nini uchague Koinonia?

}

Muda mwafaka

Jifunze kwa muda wako popote ulipo

Uhuru

Hatufungamani na kanisa lolote

Elimu pana

Unapata elimu juu ya Mungu kwa upana zaidi

Jifunze bila gharama

Masomo yetu yote yanatolewa bure