Mfumu mpya ya kupata mafundisho
Kuanzia 2021 tunaanza ku endesha huduma yetu kwa kutumia platform ya Youtube. Itatrahisisha kazi kwetu na itarahisisha kwako pia kwa sababu kila kitu utaikuta sehemu moja na tena katika format ambayo umeizoea.
Site yetu ya Koinonia tutaitumia kwa kutangaza masomo mapya na hasa ukiangalia katika nafasi hii ya “blog” utaweza kupata taarifa wakati somom mpya inatolewa au kama tuna jambo tunalotaka kuwasiliana
Karibu