Select Page

Somo Mpya

Masomo ya Marko yanaendela. Ni maombi yangu kwamba utabarikiwa na kujifunza mengi unapofuata mafundisho hayo. Siku chache zilizopita nilianaza kufikiria juu ya somo moja ambayo nadhani itaweza kuwa msaada kwako. NI som oinayohusika na Maono na jinsi ya kuweza...

Mwaka Mpya Mambo mapya!

Januari tarehe 11 ninaanza tena ku “up-load” masomo kwenye channel yetu ya youtube. Tumeamua kubadilisha mfumu wetu wa kazi na kuanzia sasa video zetu zote zinapatikana moja kwa moja kwenye Youtube na siyo hapa kwenye site yetu. Tarehe 11 Januari 2021...