Select Page

Discipleship

Masomo ya dicipleship au ufuasi ni masomo yanayohusu maisha kama mfuasi wa Yesu.

Imani katika Utendaji

Somo hili linafundisha juu ya nguvu ya imani. Kusudi la Mungu kwetu katika eneo hii ya maisha yetu. Jinsi tunavyoweza kukuza imani yetu iweze kufanya kazi katika maisha yetu na pia katika jamii

 
 
 

Ufuasi

Hili ni somo letu la msingi kabisa kama unataka kukua kama mfuasi wa Yesu. Ni sehemu nzuri ya kuanzia wakati unaanza kusoma kwetu
 
 
 
 
 

Uko tayari kuanza masomo?

Wasiliana tukusaidie!