Select Page

Our Courses

Theology

Kozi hii ina umuhimu mkubwa katika Imani yetu na tumeipa umhimu mkubwa katika mfululizo wa masomo yetu.

Katika kozi hii utajifunza juu ya Mungu Kumfaham Mungu na utendaji wake. Binadam, na kusudi la kuwepo kwake, Dhambi na matokeo yake. Uungu wa Kristo na kazi zake. kanisa, wokovu, Roho Mtakatifu na mambo ya mwisho.

Church Ministry

Ni masomo yanayohusika na namna ya kuongoza, kusimamia kanisa na jinsi ya kuwalea waumini kiroho, kimwili pamoja na kukuza huduma.

Leadership

Kozi hizi tunajifunza juu ya taratibu na namna mbali mbali za uongozi, jinsi ya kufanya kazi katika uongozi, namna ya kuweka mikakati / strategy, Mashauri / Counceling na mengine yanayosaidia katika huduma.

Biblical Studies

 Namna ya kufafanua vitabu vya Biblia Tunazingatia sana masomo hayo ili tuweze kuwa na ufaham zaidi juu ya maandiko. Tunaamini ya kwamba tunaposoma vitabu vya Biblia kwa undani zaidi tunapata uelewa mzuri juu ya makusudi ya Mungu na kuwepo kwetu. Kozi hizi ni msaada mkubwa unapokwenda kusoma Biblia.

Discipleship

Katika kozi hizi tunajifunza juu ya Imani ya Kikristo na misingi ya maadili ya mtu wa Mungu na kuweza kuishi maisha ya ufuasi.

Other Studies

Katika kozi hizi tunajifunza masomo mbalimbali: English, Computer, Study technic(Stadi za kujifunza / kusoma) Office adminitration, Falsafa, Dini za Ulimwengu pamoja na masomo mengine yanaosaidia katika utendaji wa kazi / huduma katika maisha kwa ujumla.