Select Page

Masomo ya Marko yanaendela. Ni maombi yangu kwamba utabarikiwa na kujifunza mengi unapofuata mafundisho hayo.

Siku chache zilizopita nilianaza kufikiria juu ya somo moja ambayo nadhani itaweza kuwa msaada kwako. NI som oinayohusika na Maono na jinsi ya kuweza kufanikisha maono katika maisha.

Katika somo hii nitapitia

Maono ni nini?
Mifano kutoka Biblia
Mfano wangu wa kwanza (adventure)
Maono siyo…
Nini inahitajika kwa kufanikisha maono?
Maono nin ”ndoto” yenye uhai
Mkakati, ni nini na kwa nini?
Unapangaje mkakati
Mfano wangu wa pili (YouTube)
Malengo
Kufuatilia, kutathimini na kurekibisha
Kufuatilia tena, kurekibisha…
Hitimisho

Vitakuwepo vipindi 12 na tunazirusha kuanzia tarehe 8 March. Vitatolewa kwa mfuflulizo ndani ya wiki mbili, Kipindi kimoja kila siku Jumatatu hadi Alhamisi halafu tunapumzika Juma pili.

Karibu sana kwenye masomo hayo

Kjell-Arne